Zitto kabwe ahojiwa na Polisi kwa Dakika 138



Asubuhi June 08 2016 Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitikia wito kutoka kwa mkuu wa upelelezi kanda maalum ya Dar es salaam. Zitto amefika kituoni hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba ambayo aliitoa June 5 2016.Baada ya kutoka Zitto ameyaeleza haya……….
 >>>’nimesikitika tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano kama kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini, hali ambayo haikuwepo kwa  takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru kabisa kuweza kueleza mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa’.>>’ 

takribani kila kitu tulichokizungumza kwenye mkutano kwa hiyo inaonyesha dhahiri kwamba ile fursa ambayo tumekuwa nayo siku zote ya kisiasa ya kuweza kujieleza na kueleza mawazo yetu inaminywa sasa, tusubiri jumatano wanasheria watakuwa wanafahamu kwamba hili jambo litakwenda mahakamani au litakuaje‘:-Zitto Kabwe
Zitto kabwe ahojiwa na Polisi kwa Dakika 138 Zitto kabwe ahojiwa na Polisi kwa Dakika 138 Reviewed by Unknown on 05:35:00 Rating: 5
Powered by Blogger.