VIDEO: Aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam
Leo June
08 2016 Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika Makao makuu kanda
maalum ya Dar es salaam, ikiwa ameitikia wito wa polisi. Zitto amefika
kituoni hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba
ambayo aliitoa June 5 2016.
>>>’nimesikitika
tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano
kama kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini,
hali ambayo haikuwepo kwa takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru
kabisa kuweza kueleza mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa’.
Unaweza kutazama video hii hapa chini
Unaweza kutazama video hii hapa chini
VIDEO: Aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam
Reviewed by Unknown
on
13:13:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
13:13:00
Rating:
