Taarifa ya bunge kuhusu afya ya Spika Job Ndugai na habari zinazosambazwa mitandaoni
Kumekuwa na baadhi ya taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu afya ya spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kuwa ni mgonjwa ndiomaana haonekani katika shughuli za bunge.
Leo June 8 2016 ofisi ya bunge Dodoma imetoa taarifa rasmi inayosema..’Hali
ya spika ni njema na yupo nchini India kwa ajili ya uchunguzi wa afya
yake kufuatia maelekezo ya daktari wake kumtaka afanye hivyo‘
Taarifa ya bunge kuhusu afya ya Spika Job Ndugai na habari zinazosambazwa mitandaoni
Reviewed by Unknown
on
05:25:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
05:25:00
Rating:
