Vichaa watoroka hospitali ya Mirembe! Wengine wakutwa nyuma ya hospitali wakizini
Walinzi wa hosptali ya Mirembe wamefanya mgomo na hivyo kufanya baadhi ya vichaa kutoroka. Hata hivyo baadhi walikamatwa na wengine kukutwa wakivunja amri ya sita nyuma ya hospital!!

Alipoulizwa Mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi inayolinda ya Mass amesema hawajalipwa na wao hawawezi kuwalipa walinzi!!
Mkurugenzi wa hospitali ya Mirembe alipoulizwa alidai anasikitika kilichotokea na wamepanga kuvunja mkataba na hii kampuni na kujiunga na kampuni ya Embassy!
Chanzo: Mwananchi
My Take: Kweli huyu anafaa Mirembe, Badala ya kulipa watu yeye anafikiria kukwepa tatizo kwa kukimbilia kampuni nyingine loh!
Vichaa watoroka hospitali ya Mirembe! Wengine wakutwa nyuma ya hospitali wakizini
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:59:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:59:00
Rating: