Kigogo Maarufu Mwanza Mbaroni kwa Mauaji ya Albino na Fedha za Bandia
Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti Mengi yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais bila kumtaja Jina
Je ni Kigogo Gani Huyo ? na anatoka Chama Gani ?
Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina Hapa
.jpg)
Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina Hapa
Kigogo Maarufu Mwanza Mbaroni kwa Mauaji ya Albino na Fedha za Bandia
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:48:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:48:00
Rating: