Picha: Tour Guides Wawabeba Watalii Mabegani,Kama Watumwa Walivyobeba Mabwana,Huu ni Utalii au Utumwa
Nimeangalia sana picha hapo chini,sikuelewa,ni Utalii wa aina gani huu, kweli tunahitaji pesa lakini ndio kwa namba hii? hapana,tukiendekeza hela tutaenzi hata utumwa wa kikoloni.tazama mwenyewe labda utakuwa na mtazamo tofauti
Picha: Tour Guides Wawabeba Watalii Mabegani,Kama Watumwa Walivyobeba Mabwana,Huu ni Utalii au Utumwa
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:46:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:46:00
Rating: