Lulu,Wolper Waonyeshana Jeuri ya Mabwana


Sakata la kupangishwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za kibongo ambapo safari hii mstaa wawili,Elizabeth Michael "Lulu" na Jacqueline Walper 'Wolper' Massawe wanadaiwa kuonyesha jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotea
Lulu,Wolper Waonyeshana Jeuri ya Mabwana Lulu,Wolper Waonyeshana Jeuri ya Mabwana Reviewed by CapchaMuzic on 22:39:00 Rating: 5
Powered by Blogger.