Mrembo Bongo Movies Atamani Kupata Mtoto....Ila Wakumpa Mimba Ndio Shida....Changamkia Dili
Staa wa Filamu za kibongo,Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10,tatizo hana wa kuzaa naye.

Akipiga Story na Mwandishi Tiko alisema yeye ni mgonjwa wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto
"Yaani acha tu,mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba,naona ananipotezea lakini ukweli nahitaji mtotowa pili," alisema Tiko
Mrembo Bongo Movies Atamani Kupata Mtoto....Ila Wakumpa Mimba Ndio Shida....Changamkia Dili
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:17:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:17:00
Rating: