Picha ya Mpenzi wa Diamond,Zari akioga Bafuni yazua Gumzo Mtandaoni

Picha ya mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz,Zari alivyopost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akoga imezua gumzi kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadil

Picha ya Mpenzi wa Diamond,Zari akioga Bafuni yazua Gumzo Mtandaoni
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:07:00
Rating: