Ni mtamu,Shape Nzuri,Lakini Namuacha kwa Hili
Aisee asikwambie mtu,mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha la kumtoa Nyoka pangoni.Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ana namfuata na kufanya Aplication kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni kafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6 kwa 6 aisee ni mtamu ile mbayaaaaaa.
Baada ya kukolea nami akataka kujenga mahuisiano ya kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo!kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.
Kitakacho nifanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, kaniambia yeye mwenyewe kuwa ana majini,amenitajia idadi na majina ya hayo majini mpaka nimeogopa
Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje,si itakuwa balaa.
Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lililo umbika vizuri limeene kila idara
Ni mtamu,Shape Nzuri,Lakini Namuacha kwa Hili
Reviewed by CapchaMuzic
on
23:36:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
23:36:00
Rating: