Audio;Maneno ya Rapper Chid Benz Baada ya Kuhukuiwa Leo



 
Kwenye Uheard ya leo ishu inamuhusu kesi ya rapper chid Benz ambayo ilikuwa leo,Mahakama ilitoa hukumu kwamba rapper huyo apewe adhabu ya kifungo au alipe fidia.

Chid amelipa faini ya laki 9 na kuachiwa huru ambapo amesemkuwa kesi hiyo imekuwa funzo kupitia maisha ambayo ameishi wakati akiwa kwenye kesi hiyo.

Ni watuwili waaliokuwa karibu naChid Benz wakati wote wa kesi hiyo, Mama yake mzazi ambaye ndiye amelipa faini hiyo pamoja na rafiki yake ambaye hakumtaja Jina


Audio;Maneno ya Rapper Chid Benz Baada ya Kuhukuiwa Leo Audio;Maneno ya  Rapper Chid Benz Baada ya Kuhukuiwa Leo Reviewed by CapchaMuzic on 08:02:00 Rating: 5
Powered by Blogger.