Mtoto Mlemavu wa Ngozi Aliyetekwa,Akutwa amekatwa Mikono na Miguu huko Biharamulo
Mtoto Yohana Bahati mwenye umri wa mwaka mmoja,Albino aliyetekwa huko Chato mkoani Geita amekutwa amekatwa mikono na miguu katika hifadhi ya Biharamulo.

Mtoto huyo aliibiwa siku ya Jumapili usiku akiwa amebebwa mgongoni na mama yeke Ester Bahati (30) akiwa jikoni na kucharazwa mapanga
Mtoto Mlemavu wa Ngozi Aliyetekwa,Akutwa amekatwa Mikono na Miguu huko Biharamulo
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:05:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:05:00
Rating: