Siri Imefichuka Rasmi Sasa Bwanyene Rostam Aziz Ainunua Clouds Mdia,Kazi IPo!
Habari za uhakika nilizozipata kutoka kwa mtu wa Ndani na Very Senior kutoka Clouds Media Inayomiliki Redio Mbili Clouds FM na Choice FM pamoja na Runinga ya Clouds Tv imenunuliwa na Tajiri,

Mwnasiasa na Mfanyabiahsra maarufu hapa nchini Tanzania Rostam Aziz na Kwamba wiki iliyoisha wafanyakazi wote wa hiyo media walikuwa wakiingia mikataba mipya na Management mpya ya bwanyenye huyo na kwamba kununuliwa huku kwao ni Politically Motivated
Siri Imefichuka Rasmi Sasa Bwanyene Rostam Aziz Ainunua Clouds Mdia,Kazi IPo!
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:00:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:00:00
Rating: