Picha; Bodaboda Uso kwa uso na Simba Mkoani Mbeya


Ilitokea ghafla katika barabara ya makongolosi kuelekea Rungwa Mbeya,Ghafla kwenye kona mnyama Simba kakutwa kajipumzisha katika barabara eneo la Pori la Simba.



Wakati magari yakiwa yamesimama,mara Bodaboda akatokea na bila kujua akataka kuyapita kwa kasi ndipo alipokutana uso kwa uso na Mnyama huyo hatari,Hata hivyo aliwezaa kugeuka na kukimbia wakati na Simba naye akanyanyuka na kuingia Polini
Picha; Bodaboda Uso kwa uso na Simba Mkoani Mbeya Picha; Bodaboda Uso kwa uso na Simba Mkoani Mbeya Reviewed by CapchaMuzic on 01:38:00 Rating: 5
Powered by Blogger.