Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa


Takribani siku 9 zilizopita,ililetwa thread inayozungumzia tuhuma za lowassa kumdhulumu mtu nyumba(Kama ulipitwa bonyeza HAPA).Leo majira ya saa nne takribani difenda 9 zilizosheheni askari wa kutuliza ghasia(FFU) zilisimamio zoezi la kuibomoa hiyo nyumba inayodaiwa kumilikiwa na lowassa na kumuondoa mtu aliyekuwa humo zaidi ya miaka 10.




Hii nyumba ipo kata ya kunduchi mtaa wa pwani imevunjwa leo na jeshi la Police wakiongozwa na OCD wa kinondon pamoja na Mhandisi wa Halmashauri ya Kinondon kwa madai kuwa alikuwa amejenga hapo kavamia ila mmiliki halali wa hilo eneo ni ‪#‎Edward Lowasa.aliyevunjiwa nyumba yake amekaa hapo kwa zaid ya miaka 10 swali la kujiuliza siku zote ‪#‎Lowasa alkuwa wapi? Pili kwanin wametumia nguvu kubwa kiasi hiki?..haiwezekan defenda 9 zitunike kusimamia uvunjwaji wa nyumba ya mnyonge!...
Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa Reviewed by CapchaMuzic on 00:42:00 Rating: 5
Powered by Blogger.