Ndege ya Jeshi Yaanguka na Kuwaka Moto Uwanja wa Ndege Mwanza....Rubani Aruka
Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.
Rubani wa ndege hii,ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.

Ni jet Fighter,ilikua kwenye routine exercise za kila wiki.Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation.Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma.Rubani alitoka kwa ejector seat,amepona ndege imeharibika vibaya
Ndege ya Jeshi Yaanguka na Kuwaka Moto Uwanja wa Ndege Mwanza....Rubani Aruka
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:33:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:33:00
Rating: