Lady Jaydee Atua kwa Mpiga Ramli wa Kihindi, ni Baada ya Kuachana na Gadner
Katika Kipindi chake cha Diary of Lady Jay Dee
Mwanamuziki Huyo Maarufu ameonekana akiwa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi
Ambae alikuwa anamtabiria Mambo mbali mbali ya maisha yake katika mwaka
huu mpya 2015
Baadhi ya vitu alivyotabiriwa ni hivi :
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??
Baadhi ya vitu alivyotabiriwa ni hivi :
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??
Lady Jaydee Atua kwa Mpiga Ramli wa Kihindi, ni Baada ya Kuachana na Gadner
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating: