Tetesi:Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia Mashine
Kwa
mujibu wa Mwanafamilia wa Waziri huyo hapa Arusha amehabarisha kuwa
wawili hao kwa sasa wametengani sababu ikiwa ni kukosa uaaminifu kwa
bwana Lazaro.
Kwa sasa Nyalandu yupo kwenye Hekalu lake Njiro Jijini Arusha na Faraja yupo kwa wazazi wake Dar es salaam.
Nyalandu anatuhumiwa kujirusha na vimada kwenye mahoteli makubwa hasa ya New Africa akiwa Dar es salaam ana hata nje ya Nchi.
Kilichomtia
nyongo zaidi ni tuhuma za hivi karibuni kuwa mimba ya Aunty Ezekiel ni
yake naame wanaendeleza uhusiano huku wakitaraji mtoto wakati wowote.
Nyalandu
kwa sasa anahaha kumtuliza mkewe kwa kila jinsi na leo amemtumia ujumbe
kupitiakipindi cha Clouds FM cha Leo tena kuwa anampenda sana na ni
tulizo la roho yake.
Pia anahaha kunusuru ndoa yake ili ajiweke vizuri katika nia yake ya kugombea Urais October 2015.
Tetesi:Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia Mashine
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating:
