TETESI;ILI NDO KABILA AMBALO WANAUME WAKE WANAPENDWA SANA NA WANAWAKE
- Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
- Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.
- Hawahusu majungu, wambeya hata wampelekee semi trailer la majungu kamwe hawasikilizi.
- Wako fit kitandani na hawachoki. Wasukuma wanapiga mabao kumi na mbili na bado wakitoka hapo wanaenda kupiga puli mabao manne.
- Hawana majisifu kama kina Mutashobya, Rugakingira, Rweyemamu etc.
TETESI;ILI NDO KABILA AMBALO WANAUME WAKE WANAPENDWA SANA NA WANAWAKE
Reviewed by CapchaMuzic
on
11:13:00
Rating: