Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Ngono na House Girl wa Jirani Yetu
nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha
kilomita moja toka nyumbani.
Nikaona
nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie
kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume
wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu
ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19
hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu
alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa,
nifanye nini mimi?
NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...
SHARE HII TAFADHALI
Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Ngono na House Girl wa Jirani Yetu
Reviewed by CapchaMuzic
on
09:44:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
09:44:00
Rating:
.jpg)