Mashabiki wamuandikia barua ya wazi kwa mwanadada wema sepetu,isome hapa
najua
wewe ni mrembo sana ,una exposure na unapesa.sawa wanasema mwanamke
bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana jana nimekuona
sehemu fulani kinondoni umelewa sana sana...hivi unadhani pombe ndio
suruhisho la matatizo yako? tena unakunywa mi pombe mikali halafu wewe
mwanamke .iko kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo? nikupe siri mdogo
wangu wewe ni mzuri sana una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyote dunia hii
na sio uchafu wa manzese huu unaokupaka paka vikwapa vya kila mwanamke
.. kama ungeweza embu ondoka tanzania japo kwa miezi 6 nenda kakae zako
nje ya nchi kama ulivyofanya kipindi kile ulipoachana na yule mla unga
..ukirudi utakuwa mpya wema mpya utakuwa umeweza kukaa mbali na huyo
domo na utaona unaweza kuishi bila yeye
Mashabiki wamuandikia barua ya wazi kwa mwanadada wema sepetu,isome hapa
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:49:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:49:00
Rating:
