Picha: Mez B ajitetea baada ya picha alizopiga na wasichana 2 wakiwa watupu kuvuja, ‘ma boyfriend zao wazungu walinilazimisha nipige nao’
Member wa kundi la zamani la Chemba Squad, Moses Bushagama aka Mez B
amejikuta akiingia kwenye kashfa baada ya picha alizopiga na wasichana
wawili wakiwa watupu huku amewashika maziwa, kuvuja na kusambaa kwenye
mitandao.
Mez B amejitetea kwa kusema kuwa alilazimishwa kupiga picha hizo na maboyfriend wa wasichana hao ambao ni wazungu.
“Zile
picha bwana dah hata mimi nimesikitika pia… mi nilikuwa nashoot
video…sasa kuna wadada wawili walikuwa wanaoga kwenye swimming pool na
maboyfriend zao wazungu Mikadi na walikuwa vifua wazi tu vile vile, sasa
mwisho wa picha wakaomba kupiga picha. Actually mimi nilikataa kwa
style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa
wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu,
director wangu mwishoni akasema ngoja tupige tu tuwaridhishe then si
tunazifuta”. Amesema Mez B kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm.
Mez B ameongeza kuwa tukio hilo lilitokea mwaka jana mwishoni na hajui ni nani ambaye amezivujisha picha hizo.
“Ni
muda sana yaani hizo picha ni za mwaka jana mwishoni mwezi wa 12
nilipokuwa nashoot video ya shemeji, kwahiyo sasa nimeshangaa hizo picha
hazikufutwa na zimesambaa na hata director mwenyewe nimemuuliza yeye
mwenyewe anashangaa na kwasababu kuna dogo mmoja alikuwa anafanya nae
pale kazi wakagombana, yule dogo aliondoka kwahiyo akawa anamuhisi huyo
dogo atakuwa ndio amezivujisha.Director mwenyewe anasema sio yeye
ofcourse ni mtu na heshima zake yaani”
Picha: Mez B ajitetea baada ya picha alizopiga na wasichana 2 wakiwa watupu kuvuja, ‘ma boyfriend zao wazungu walinilazimisha nipige nao’
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:19:00
Rating: