Mama Yangu Alinifundisha Umalaya, Kwa Siku Nilikuwa Nalala na Wanaume zaidi ya Kumi Ili Tupate Hela
Ukistaajabu ya Musa basi labda Hujayaona ya Juma, Nimepata e-mail kutoka
kwa msichana mmoja akieleza jinsi alivyoingia kwenye Umalaya na Kuanza
Kuuza Mwili wake:
Admin Udaku Specially Mimi ni Msichana mwenye Miaka 20 tu lakini
niliyopitia ni zaidi ya mwanamke mwenye miaka Thelathini , Mimi
nimelelewa na Mama peke yake hata baba yangu simjui mama aliniambia kuwa
baba alimwacha baada ya hali ya maisha kuwa ngumu, Nikiwa na Miaka 15
nikiwa naishi maeneo ya Mwananyamala na Mama, maisha yalikuwa magumu
kiasi mama akawa analeta wanaume ndani ya nyumba usiku na hata mchana
ili tupate hela ilifikia wakati wale wanaume wakija nyumbani
wananitamani na kuumuuliza mama kama mimi ni mtoto wake, Siku moja mama
alikuja na jamaa mmoja usiku wa manane wakiwa wamelewa sana , basi kwa
vile tulikuwa chumba kimoja yule jamaa alivyoingia ndani akawa
anamwambia mama ananitaka , na mama akaanza kunilazimisha kilevi nilale
nae kuwa atanipa hela nyingi ,usiku ule nilijikuta nimelala na yule
jamaa huku mama akiwa kalewa chakari iliniuma sana , akatuachia sh
25,000 asubuhi , basi mwendo uliendelea hivyo hivyo mpaka muda mwingine
mama akawa ananiita twende nae kwenye mabaaa , ambapo tulipata wanaume
mbali mbali ili tupate kipato , nami nikazoea kabisa , kwa siku nilikuwa
nalala na wanaume zaidi ya kumi, kwasasa nimepanga chumba kimoja naishi
kijitonyama nataka kuachana na hiyo kazi kwani siipendi nataka niwe
msichana wa kawaida , nimepima ukimwi nimeambiwa sina..ila sasa sina
shughuli yoyote ya kuniingizia kipato kwa sasa na elimu sina, Naomba Kama unawajua watu naweza fanya hata shughuli za ndani au kuuza Duka ili mradi niepuke na umalaya.
Mama Yangu Alinifundisha Umalaya, Kwa Siku Nilikuwa Nalala na Wanaume zaidi ya Kumi Ili Tupate Hela
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:49:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:49:00
Rating: