Picha za uchi za Kim Kardashian, Rihanna , Meagan Good , gabrielle union na wengine zavuja mtandaoni !!!

Wimbi la pili la picha za utupu za wasanii maarufu limekuja tena baada ya kuvuja kwa mara ya kwanza kunakosemekana ndio tukio kubwa kabisa la kuvuja kwa picha za mtandaoni kupitia vitendo vya “ku-hack”. Hivi sasa wimbi hili limewakuta wasanii kama  Rihanna, Kim Kardashian West, Hayden Panettiere and Gabrielle Union na Meagan Good. Picha hizi ambazo zilianza kuonekana kwenye websites kama 4chan na Reddit siku ya jumamosi ambapo zimeendelea kuvuja hadi leo.
Kim-Kardashian-Nude-Photos-hacked-vibe-co-tz
Rihanna-Nide-Photos-Hacked-vibe-co-tz
Meagan-Good-Nude-Photos-Hacked--vibe-co-tz
Celebrities wengi ambao picha zao zilivuja hawajaongelea chochote ingawa mrembo Gabrielle Union ambae ni mume wa mcheza kikapu maarufu nchini marekani Dwyane Wade. ameachia taarifa kupitia mtandao wa TMZ  ambapo pia amepeleka malalamiko yake kwenye shirika la upelelezi nchini marekani (FBI).
Gabrielle-Union-Naked-Photos-Hacked
Katika winbi hili la pili kunasemekana kuwepo kwa picha zaidi ya 60  za  muigizaji maarufu wa movie ya The Hunger Games , Jennifer Lawrence. Mtu mwingine ambae amekubwa na uvujaji huu kwa mara ya pili ni mwanadada muigizaji wa series ya The Big Bang Theory , Kaley Cuoco  ambaye aliongea haya kuhusu kuvuja kwa picha zake.
Picha za uchi za Kim Kardashian, Rihanna , Meagan Good , gabrielle union na wengine zavuja mtandaoni !!! Picha za uchi za Kim Kardashian, Rihanna , Meagan Good , gabrielle union na wengine zavuja mtandaoni !!! Reviewed by CapchaMuzic on 10:50:00 Rating: 5
Powered by Blogger.