Madhara ya Kujichubua Ngozi na Vipodozi vya Mitaani Vya Bei Rahisi
"Kujichubua ndio Habari ya Mjini ...Haha Hako kamsemo nakasikia sana
mitaani kutoka kwa wasichana na kweli ukiangalia wasichana Wengi hasa
mastaa wetu hapa Bongo Wamejichubua Ngozi na kuonekana Weupe..Mie
siwakatazi ila nawapa Onyo tu , Ukiamua kujichubua basi tumia Vipodozi
Sahihi na ambavyo vimeshajaribiwa , Wengi Wanatumia Mikorogo ya Mitaani
ambayo madhara yake ni kama unavyoona kwenye picha hapo juuu, na wengine
wamejichubua na kushindwa kuendelea kutumia dawa sahiii ambazo ni ghali
hivyo kugeukia migorogo ya mitaani ama kuacha kabisa na ngozi yao
kugeuka kuwa kama ya chura ..Hao mastaa waliojichubua wanahela za
kumaintain mikorogo ya Ukweli ..Kama hujajichubua ni bora usifanye
hivyo..Tafuta vipodozi vitakavyo ng'arisha ngozi yako lakini si
kujichubua"
Madhara ya Kujichubua Ngozi na Vipodozi vya Mitaani Vya Bei Rahisi
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:47:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:47:00
Rating: