DIRISHA LA USAJILI LAFUNGWA; WALIOTOKA NA KUINGIA KLABU ZOTE ENGLAND HADI SEKUNDE YA MWISHO
DIRISHA
la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo na klabu mbalimbali zilikuwa
kwenye pilika za kukamilisha uhamisho wa nyota mbalimbali waliokuwa
wakiwahitaji.
BIN
ZUBEIRY inakuletea orodha ya wachezaji wote wapya waliosajiliwa pamoja
na wale ambao wameondoka kwenye klabu tano kubwa, Arsenal, Chelsea,
Liverpool, Manchester City na Manchester United baada ya kufungwa kwa
usajili mkubwa wa majira haya.
Mtu wa kazi; Radamel Falcao amehamia Manchester United kwa mkopo kutoka Monaco ya Ufaransa |
ARSENAL
WALIOINGIA
Alexis Sanchez (Barcelona, Pauni Milioni 30), Calum Chambers (Southampton, Pauni Milioni 12), Mathieu Debuchy (Newcastle, Pauni Milioni 10), David Ospina (Nice, Pauni Milioni 3), Danny Welbeck (Manchester United, Pauni Milioni 16)
WALIOONDOKA
Thomas Vermaelen (Barcelona, Pauni Milioni 15), Johan Djourou (Hamburg, dau halijatajwa), Thomas Eisfeld (Fulham, dau halijatajwa), Bacary Sagna (Manchester City, huru), Lukasz Fabianski (Swansea, huru), Nicklas Bendtner (Wolfsburg, huru), Park Chu-young (ametemwa), Chuks Aneke (Zulte Waregem, huru), Daniel Boateng (ametemwa), Wellington Silva (Almeria, mkopo), Carl Jenkinson (West Ham, mkopo), Benik Afobe (MK Dons, mkopo), Ignasi Miquel (Norwich, dau halijatajwa), Ryo Miyaichi (Twente, mkopo)
CHELSEA
CHELSEA
WALIOINGIA
Cesc Fabregas (Barcelona, Pauni Milioni 30), Diego Costa (Atletico Mdrid, Pauni Milioni 32), Filipe Luis (Atletico, Pauni Milioni 16), Loic Remy (QPR, Pauni Milioni 8), Mario Pasalic (Hadjuk Split, dau halijatajwa), Didier Drogba (Galatasaray, huru)
WALIOTOKA
David Luiz (Paris Saint-Germain, Pauni Milioni 50), Romelu Lukaku (Everton, Pauni Milioni 28), Demba Ba (Besiktas, Pauni Milioni 8), Ashley Cole (Roma, Pauni Milioni 1.5), Patrick van Aanholt (Sunderland, dau halijatajwa), Samuel Eto'o (Everton, huru), Frank Lampard (New York City, huru), Sam Hutchinson (Sheffield Wednesday, huru), Henrique Hilario (amestaafu), Wallace (Vitesse Arnhem, mkopo), Bertrand Traore (Vitesse Arnhem, mkopo) Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach, mkopo), Mario Pasalic (Elche, loan), Ryan Bertrand (Southampton, mkopo), Gael Kakuta (Rayo Vallecano, mkopo), John Swift (Rotherham, mkopo, Oriol Romeu (Valencia, mkopo) Christian Atsu (Everton, mkopo), Victor Moses (Stoke, mkopo), Marko Marin (Fiorentina, mkopo), Josh McEachran (Vitesse Arnhem, mkopo), Patrick Bamford (Middlesbrough, mkopo), Fernando Torres (AC
Milan, mkopo) Marco van Ginkel (AC Milan, mkopo), Nathaniel Chalobah
(Burnley, mkopo), Jamal Blackman (Middlesbrough, mkopo)
LIVERPOOL
LIVERPOOL
WALIOINGIA
Adam Lallana (Southampton, Pauni Milioni 23), Lazar Markovic (Benfica, Pauni Milioni 20), Mario Balotelli (AC Milan, Pauni Milioin16), Alberto Moreno (Sevilla, Pauni Milioni 12), Emre Can (Bayer Leverkusen, Pauni Milioni 9.8), Rickie Lambert (Southampton, Pauni Milioni 4) Dejan Lovren (Southampton, Pauni Milioni 20), Divock Origi (Lille, Pauni Milioni 10), Kevin Stewart (Tottenham, huru), Javier Manquillo (Atletico Madrid, mkopo)
WALIOONDOKA
Luis Suarez (Barcelona, Pauni Milioni 75), Pepe Reina (Bayern Munich Pauni Milioni 2), Martin Kelly (Crystal Palace, Pauni Milioni 1.5), Conor Coady (Huddersfield, Pauni 500,000), Daniel Agger (Brondby, dau halikutajwa, Jack Robinson (QPR, dau halikutajwa), Luis Alberto (Malaga, mkopo), Iago Aspas (Sevilla, mkopo), Andre Wisdom (West Brom, mkopo), Divock Origi (Lille, mkopo), Brad Smith (Swindon, mkopo), Joao Carlos Teixeira (Brighton, mkopo), Tiago Llori (Bordeaux, mkopo), Jordan Ibe (Derby, mkopo), Sebastian Coates (Sunderland, mkopo), Oussama Assaidi (Stoke, mkopo)
MANCHESTER CITY
MANCHESTER CITY
WALIOINGIA
Eliaquim Mangala (Porto, Pauni Milioni 32), Fernando (Porto, Pauni Milioni 12, Willy Caballero (Malaga, Pauni Milioni 6), Bruno Zuculini (Racing Club, Pauni Milioni 3), Bacary Sagna (Arsenal, huru), Frank Lampard (New York City, mkopo)
WALIOONDOKA
Javi Garcia (Zenit, Pauni Milioni 13, Costel Pantilimon (Sunderland, fhuru), Joleon Lescott (West Brom, huru) Gareth Barry (Everton, huru), Alex Nimely (ametemwa), Rony Lopes (Lille, mkopo), Emyr Huws (Wigan, dau halijatawa), Reece Wabara (Doncaster Rovers, huru), Jack Rodwell (Sunderland, Pauni Milioni 7, Jason Denayer (Celtic, mkopo), Micah Richards (Fiorentina, mkopo), Alvaro Negredo (Manchester City, mkopo)
MANCHESTER UNITED
MANCHESTER UNITED
WALIOINGIA
Angel di Maria (Real Madrid Pauni Milioni 59.7), Luke Shaw (Southampton, Pauni Milioni 31.5), Ander Herrera (Athletic Bilbao, Pauni Milioni 29), Marcos Rojo (Sporting Lisbon, Pauni Milioni 16), Daley Blind (Ajax, Pauni Milioni 14), Vanja Milinkovic (FK Vojvodina, dau halijatajwa), Radamel Falcao (Monaco, mkopo)
WALIOONDOKA
Shinji Kagawa (Borussia Dortmund Pauni Milioni 6.3), Alexander Buttner (Dinamo Moscow, Pauni Milioni 5.6), Patrice Evra (Juventus, Pauni Milioni 2.5) Bebe (Benfica, Pauni Milioni 2.4m), Rio Ferdinand (QPR, huru), Nemanja Vidic (Inter Milan, huru), Federico Macheda (Cardiff City, huru), Jack Barmby (Leicester, huru), Louis Rowley (Leicester, huru) Ryan Giggs (amestaafu), Angelo Henriquez (Dinamo Zagreb, mkopo), Nani (Sporting Lisbon, mkopo), Wilfried Zaha (Crystal Palace, mkopo) Javier Hernandez (Real Madrid, mkopo), Tom Lawrence (Leicester, Pauni Milioni 1), Danny Welbeck (Arsenal, Pauni Milioni16), Nick Powell (Leicester, mkopo), Michael Keane (Burnley, mkopo)GONGA HAPA: Kutazama usajili wa timu zote England
DIRISHA LA USAJILI LAFUNGWA; WALIOTOKA NA KUINGIA KLABU ZOTE ENGLAND HADI SEKUNDE YA MWISHO
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:44:00
Rating: