Hizi dio Picha za Wastara na JB(Bonge la Bwana) za Mahaba niuwe zinazongaliwa zaidi mitaandoni kwa sasa
Jacob Stephan na Wastara Juma wameingia mzigoni kushoot filamu mpya
iitwayo ‘Mzee wa Swaga’ ambapo ndani ya filamu hiyo Wastara ni mpenzi wa
JB.
Wastara akiwa na JB katika filamu mpya ya Mzee wa Swaga
Wastara ameiambia Bongo5 kuwa filamu hiyo iliyo chini ya kampuni ya
Jerusalem film itahusisha mastaa mbalimbali katika tasnia hiyo. “Tupo
location tunashoot filamu mpya ya kampuni ya Jerusalem film, wasani
wengi wameigiza lakini mimi nimeigiza kama mpenzi wa JB ndiyo maana
umena picha tukiwa mazingira fulani,” alisema Wastara. Hizi ni baadhi ya
picha.
Hizi dio Picha za Wastara na JB(Bonge la Bwana) za Mahaba niuwe zinazongaliwa zaidi mitaandoni kwa sasa
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:52:00
Rating: