"SYLVESTER STALLONE (RAMBO) AFARIKI BAADA YA AJALI MBAYA YA GARI" UVUMI WAENEA KWA HARAKA MIITANDAONI
Muigizaji wa the "Expendables
3" Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao
wamekuwa ni waathirika wa kuzushiwa kifo. Tetesi zilizosambaa kama moto
unaounguza pori/ msitu hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, zilianzia
kupitia ukurasa feki wa facebook.
Habari hii
ambayo inaonekana kusababisha panic kubwa kwa mashabiki wa muigizaji
"Rambo" imepelekea kutumwa kwa salamu za huzuni kutoka kwa mashabiki
wake mbalimbali kupitia mtandao wa twitter.
Hii sio maara ya kwanza kwa muigizaji huyo kuuliwa na internet, mwanzoni uvumi mkubwa wa kifo chake ulioripotiwa na Global Associate News zilidai kuwa Rambo alifariki kwa ajali iliyotokana na snowboarding.
"SYLVESTER STALLONE (RAMBO) AFARIKI BAADA YA AJALI MBAYA YA GARI" UVUMI WAENEA KWA HARAKA MIITANDAONI
Reviewed by Unknown
on
02:15:00
Rating: