Angalia Pale Neymar alipojaribu kurap kwa sekunde 15
Ni
watu wengi huwa wanapenda kuona kidogo ukoje upande wa pili wa mastaa
wanaowafatilia, yani wanapokua nje ya kazi wanafanya nini au wanauwezo
wa kufanya nini kingine.
Mcheza soka staa Mbrazil Neymar hivi juzi alitokea kwenye page ya
instagram ya MC Nego ambae ni rapper maarufu Brazil, pia mshkaji wa
karibu wa Neymar.
Angalia Pale Neymar alipojaribu kurap kwa sekunde 15
Reviewed by Unknown
on
02:38:00
Rating: