NOMA SANA ! LULU AZUA GUMZO KUBWA BAADA YA KUPOST PICHA HII MTANDAONI,

Haijafahamika kuwa msanii wa Bongo Movie Diana 

Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kama alikuwa 


akihudhuria mazoezi GYM hadi alipo share leo picha hiyo 


hapo juu akiwa kaonyesha umbolake lilivyo sasa na 


kuandika haya maneno...

...Nimeshakuwa mwalimu.....!!!! #kihomehome #fitness #mdogomdogo''
Wengi wa fans wake wame comment picha hiyo kwa kumpa 

pongezi jinsi anavyo tengeneza mwili wake usiwe manyama 


uzembe nakupoteza mvuto kama baadhi ya wasanii wa 


muziki na filamu za hapa Bongo.
NOMA SANA ! LULU AZUA GUMZO KUBWA BAADA YA KUPOST PICHA HII MTANDAONI,  NOMA SANA ! LULU AZUA GUMZO KUBWA BAADA YA KUPOST PICHA HII MTANDAONI,   Reviewed by Unknown on 03:47:00 Rating: 5
Powered by Blogger.