Video hii ya utengenezaji wa 'Anaconda' ya Nicki Minaj ingekuwa Tanzania ingepigwa marufuku Mapemaa!
Rapper wa Young Money, Nicki Minaj amepiga hatua ya pili, siku chache baada ya kutoa kionjo cha video ya wimbo wake wa ‘Anaconda’ na sasa amewaonesha mashabiki kilichojiri katika utengenezaji wa video hiyo.
Video hiyo yenye dakika mbili na sekunde 47 inaonesha matukio kadhaa ambayo ni kinyume kabisa cha maadili ya nchi yetu na kwa kuzingatia baadhi ya video za wasanii wa Tanzania zilizowahi kupigwa marufu nchini, hii ingekutana na nyundo ya BASATA mapema (kama ingekuwa ya msanii wa Tanzania!!!)
BOFYA HAPA KUITAZAMA
Video hii ya utengenezaji wa 'Anaconda' ya Nicki Minaj ingekuwa Tanzania ingepigwa marufuku Mapemaa!
Reviewed by Unknown
on
03:46:00
Rating: