Picha,Mwondoko Wa Kim Kardashian Ulivyowazubaisha Polisi Hawa
Kim Kardashian aliwahi kutajwa kuwa miongoni mwa wanamitindo wachache
duniani wenye mvuto zaidi bila kuwa na kipodozi chochote mwilini mwao.
Hivi karibuni Kim alikuwa kwenye mizunguko ya kazi zake kama kawaida na
kujikuta kwenye eneo lenye usalama wa polisi sababu ya watu maarufu
waliokuwa kwenye duka hilo, wakati anatoka polisi hao walishindwa
kujizuia kutazama mwondoko wa Kim kama picha zinavyoonyesha.
Picha,Mwondoko Wa Kim Kardashian Ulivyowazubaisha Polisi Hawa
Reviewed by Unknown
on
01:16:00
Rating: