Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae
Mara nyingi habari za mastaa hususan za mahusiano huanza kama tetesi,
kisha hufuata hatua ya pili ambayo ni kukanusha, halafu baadae huja na
majibu ya ‘mapenzi moto moto’. Narudia tena ‘mara nyingi’ japo si mara
zote.

Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz hivi sasa tetesi hizo ziko katika hatua ya pili (kukanusha).
Meninah la divah amezungumza na Soudy Brown kupitia U Heard ya Clouds FM na kukanusha habari hizo kwa madai kuwa hajawahi kuwa na ukaribu na Platnumz kiasi kwamba, “Mi huyo Diamond mwenyewe hata kumshika mkono tu sijawahi”.
Msikilize hapa:
Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz hivi sasa tetesi hizo ziko katika hatua ya pili (kukanusha).
Meninah la divah amezungumza na Soudy Brown kupitia U Heard ya Clouds FM na kukanusha habari hizo kwa madai kuwa hajawahi kuwa na ukaribu na Platnumz kiasi kwamba, “Mi huyo Diamond mwenyewe hata kumshika mkono tu sijawahi”.
Msikilize hapa:
Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae
Reviewed by Unknown
on
01:11:00
Rating: