BINTI ANYWA SUMU BAADA YA KUTOSWA NA MSANII WA BONGO FLAVA



Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Yvet usiku wa kuamkia jana amekunywa sumu baada ya kushtukia mpenzi wake ambaye ni msanii wa kundi la Micharazo Becka Tittle eti ana mchepuko na alipomuuliza mpenzi wake eti akatoswa, binti ndio akarudi kwao na ilipofika mida ya usiku akachanganya madawa vikiwemo vidonge vya F******l*** akanywa ndipo mama mtu akaskia mtoto wake anaita kwa mbaali akaamka na kumkuta mwanae anatoa mapovu ikabidi amsaidie kwa kumpa maziwa na baadae kumkimbiza hospitali. Chanzo: Makorokocho
BINTI ANYWA SUMU BAADA YA KUTOSWA NA MSANII WA BONGO FLAVA BINTI ANYWA SUMU BAADA YA KUTOSWA NA MSANII WA BONGO FLAVA Reviewed by Unknown on 08:38:00 Rating: 5
Powered by Blogger.