Picha: Jokate amfanyia interview ex wake Diamond, mashabiki wadai wanaoneana aibu!Ona ilivyo kuwa

Msimu wa pili wa kipindi cha The One Show cha TV1 umeanza. Kinachofanyika kwa sasa ni kurekodiwa kwa vipindi hivyo vitakavyoanza kurushwa hivi karibuni.
10499029_270453423159001_1599154696_n
Jokate Mwegelo na Diamond wakiwa kwenye studio za TV1

Leo, watangazaji wa kipindi hicho, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo walikuwa wakimhoji Diamond Platnumz.
10570332_780964765258673_4654914933743998636_n
Diamond ameshare picha kwenye Instagram akiwa amekaa kwenye kochi na ex wake Jokate, na kuvutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki.
10488765_1531296623767546_632120984_n
Jokate, Romy Jones, Ezden na Diamond
Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kwa muda mfupi, walikuwa wakioneana aibu. Ni kweli?
Picha: Jokate amfanyia interview ex wake Diamond, mashabiki wadai wanaoneana aibu!Ona ilivyo kuwa Picha: Jokate amfanyia interview ex wake Diamond, mashabiki wadai wanaoneana aibu!Ona ilivyo kuwa Reviewed by Unknown on 08:58:00 Rating: 5
Powered by Blogger.