JOKATE MWEGELO APATA MPENZI MPYA BAADA YA KUSEMA YUPO SINGLE
Muigizaji
wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa
mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha
inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa na mwanaume mmoja jina
halijatambulika haraka wakiwa kimahaba zaidi.
Wiki
iliyopita Jokate ambaye pia ni mtangazaji wa Channel O, mwanamuziki na
designer alisema yupo single na anatafuta husband material.
JOKATE MWEGELO APATA MPENZI MPYA BAADA YA KUSEMA YUPO SINGLE
Reviewed by Unknown
on
08:13:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
08:13:00
Rating:
