BAADA YA KUACHANA HAPO JUZI, SHILOLE NA MPENZI WAKE WARUDISHA MAPENZI UPYA.KAMA NDO"KWANZA WANAANZA
wamesambaza picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
BAADA YA KUACHANA HAPO JUZI, SHILOLE NA MPENZI WAKE WARUDISHA MAPENZI UPYA.KAMA NDO"KWANZA WANAANZA
Reviewed by Unknown
on
08:13:00
Rating: