KATI YA JAMAA HAWA WAWILI NANI ATAKAUA ANATOKA NA DADA YETU JOHARI....BAADA YA FIGISUFIGISU YAPENZI LAKE?!!!

Waswahili wanasema penzi ni kikohozi..na ukitaka mapezi ya siri basi fanya na bubu.....hehehehe Hiyo yote ni misemo tu...TURUDI KWENYE KICHWA CHA STORY.
Baada ya mtikisiko wa penzi lake na msanii mwenzake wa bongo movie, mwanadada Johari kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Domozege imebaini kwa kipindi tofauti ameweka picha mbili tofauti akiwa na mwanaume na kuandika maneno ambayo yanawachanganya sana followers wake...ambao
kwakiasi kikubwa walikuwa wakitaka fafanuzi zaidi ....... lakini Johari hakujibu comments za followers wake..hiii ikapelekea followers wake wajiongeze na kuamini kuwa huyo ndio atakuwa mpezi mpya wa Johari..
Sasa nimekuletea na wewe msomaji wangu uzionepicha hizo na useme ni yupi atakuwa amerithi shamba....

KATI YA JAMAA HAWA WAWILI NANI ATAKAUA ANATOKA NA DADA YETU JOHARI....BAADA YA FIGISUFIGISU YAPENZI LAKE?!!! KATI YA JAMAA HAWA WAWILI NANI ATAKAUA ANATOKA NA DADA YETU JOHARI....BAADA YA FIGISUFIGISU YAPENZI LAKE?!!! Reviewed by Unknown on 03:21:00 Rating: 5
Powered by Blogger.