Jason Derulo Azungumzia Alijuaje Jordin Sparks Ndio SoulMate Wake.
“Nilijua Jordin ni wangu milele pale alipokuwa hospitalini na mimi muda wote nilivyoumia mgongo na kuambiwa kuwa kunauwezekano nisingetembea tena, ila hakuniacha bali mapenzi yaliongezeka ndio nikajua kuwa namuhitaji zaidi hapa duniani” Jason alivunjika mfumpa wa mgongo January 2012.
Jason Derulo na Jordin wamekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa na mwaka jana Jason alimwimbia Jordin wimbo wa Naomba Nikuowe “Marry Me” .
Jason Derulo Azungumzia Alijuaje Jordin Sparks Ndio SoulMate Wake.
Reviewed by Unknown
on
09:03:00
Rating: