Hizi Picha,Kim Kardashian Ataka Kuasili [Adoption] Mtoto Kutoka Thailand.

Hivi karibuni kwenye kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Khloé Kardashian na familia yake wapo Thailand kwa ajili ya mapumziko na walipata nafasi ya kutembelea nyumba ya watoto yatima eneo hilo.
Kwenye episode hii imeonekana wazi kuwa Kim Kardashian alikuwa na mpango waku Kuasili [Adoption] mtoto wa kike aliyekutana naye kwenye kituo hicho ambaye walikuwa marafiki ndani ya muda mfupi tu.
Kim alitoa wazo la Kutaka kuondoka na mtoto huyo na Mama yake alionekana kumtia nguvu ila manager wa hoteli waliyofikia familia ya The Kardashian alisema kisheria hawawezi kuasili (adoption) eneo hilo.
Kim k 0 Kim k 1 Kim k 3 Kim k 11 Kim k 12 Kim k 13 Kim k
Hizi Picha,Kim Kardashian Ataka Kuasili [Adoption] Mtoto Kutoka Thailand. Hizi Picha,Kim Kardashian Ataka Kuasili [Adoption] Mtoto Kutoka Thailand. Reviewed by Unknown on 09:04:00 Rating: 5
Powered by Blogger.