Viral Video: Mmarekani atembea kuuliza wanawake 200 kama wanaweza kufanya naye mapenzi, fahamu walivyojibu

http://dalje.com/slike/slike_3/r1/g2007/m08/x35149068131129771_17.jpg 
Mmarekani mmoja ameamua kuwauliza wanawake 200 asiofahamiana nao kama anaweza kufanya nao mapenzi. Jamaa huyo anayejiita “Brian from California”,alizunguka katika miji ya Paris na Amsterdam kufanya jaribio hilo na hivi ndivyo ilivyokuwa.
Viral Video: Mmarekani atembea kuuliza wanawake 200 kama wanaweza kufanya naye mapenzi, fahamu walivyojibu Viral Video: Mmarekani atembea kuuliza wanawake 200 kama wanaweza kufanya naye mapenzi, fahamu walivyojibu Reviewed by Unknown on 08:30:00 Rating: 5
Powered by Blogger.