BREAKING NEWWWWZ....MKURUGENZI TBS JELA MIAKA 3
Mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu DSM, imemhukumu kwenda jela miaka 3 aliyekuwa
mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege baada ya kukutwa na hatia katika
makosa yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya
Ofisi.
BREAKING NEWWWWZ....MKURUGENZI TBS JELA MIAKA 3
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:51:00
Rating: