Mashabiki wa Mshambulia Recho kwa Kupost Picha zake za Utupu Instagram...Zione hapa
Muimbaji wa ‘Kizunguzungu’ Recho amejikuta katika wakati mgumu na kushambuliwa Instagram baada ya kuweka picha ya mitego.
Picha ya Recho iliyomfanya ashambuliwe
Recho ambaye kwa sasa amewataka mashabiki wake kumuita ‘Recho Mapenzi’ aliweka picha instagram ikiwa na ujumbe “Studio..muda wa kazi” na kuvutia commenta nyingi za kushambuliwa.
Angalia baadhi ya comments hizo:
vicky_greenapple2
Kukaa mapaja waz hivyo ndo nini sasa…watu wengne bhana ndo kutafta umaarufu kunuka kwa nguv au…ur such a lady respect ur
kabinti_eyez
Jamanii kibukta ichoo sio chupii sema kimepanda tuu..ila dada anguu usirudie tenah sio vizuriii mwil ni hekalu la munguuu
Muktarishafii57
Acha kujishushoa hathi.Amna atakae kufagilia kwa ujinga huo nimekutharau xana.
Zayyadamnyeke
Ungetoa tuu mwayaa mana mmmnhh….umenyambwa haswaa cyo kidogo..polee lakn @rachellkizunguzungu 1d
Hyasinta14
Wasanii kwa kuiga upumbavi hivi huo mwili unamwachia nani labda , zamani hukuwa hivyo na we ushawehuka, ndio maana mnamegwa mnatemwa,puuuh
Chugagirl4real
Hivi kweli akili yako ipo sawa? Ukapost kabisa ujinga huu eti upo studio ..mmmmh kweli biashara matangazooo…sorry ushapata wateja wangapi kwanzia umepost hii picha?falaaaaa WWW@Rachellkizunguzungu mfyuuuuuu…. nimekushusha mpaka miguuuni
Elianotariq_daznundaz
Fatilieni yenu jamanii mbona hivyo,nyie wenye mapaja si mngepiga na nyie picha tuone,fanyeni yenu,coment za kandia hazipendezi…husda tuu zimewajaa

Reviewed by CapchaMuzic
on
06:28:00
Rating: