Baada ya story za Drake na Chris Brown, hivi ndivyo Rihana anavyojiliwaza.

Rihanna-in-Italy-August-2014-Bellanaija.com-01-1
Ni muda sana toka tusikie tetesi zikitambaa kuwa Rihanna yupo na mwanamuziki kutoka Young money, Drake. Hali ya hewa ikiwa bado haijatulia tukasikia tena mara yuko kwa chris Brown na mipango ya kurudi, baada ya kuchoshwa na tetesi kutoka kwa paparazi, kabwa hata ya sherehe za VMA hazijaanza, yeye pamoja na best yake wakaamua kwenye kwenye ka-trip kadogo wakajiliwaze wenyewe na kula gud tymez, na haya ndio yaliyojiri.
Rihanna-in-Italy-August-2014-Bellanaija Rihanna-in-Italy-August-2014-Bellanaija
Baada ya story za Drake na Chris Brown, hivi ndivyo Rihana anavyojiliwaza. Baada ya story za Drake na Chris Brown, hivi ndivyo Rihana anavyojiliwaza. Reviewed by CapchaMuzic on 00:51:00 Rating: 5
Powered by Blogger.