Hii ndiyo siku Vanessa alipofunguka, kuhusu mahusiano yake yakimapenzi.
Msanii wa kike ambaye anazidi ku-make headlines hasa kwa historia
yake ya kila nyimbo pale anapoi-release lazima ifanye vizuri, maarufu
kama Vanessa Mdee au Veemoney finaly afunguka kuhusu maisha yake
yakimahusiano. Mtu kama Vanessa ambaye ni maarufu kama ilivyo kwa
wasanii wengi wa bongo, upande wake wa pili hasa wa kimahusiano umekuwa
na utata, na kuzidi kuwafanya mashabiki wengi wazidi kujiuliza ni nani
haswa anatoka na Vanessa mdee.
Akiwa anahojiwa hapa utamsikia mwenyewe akiongelea rumors nyingi
zilizowahi kusambaa kuwa yeye anatoka na baadhi ya watu maarufu na
kufunguka kuwa, mara nyingi watu wanakuwa wanadadisi vitu, hasa pale
wasipojuamwelekeo wako kwenye jambo fulani, hivyo kumfanya kila
aonekanaye naye kuwa na ukaribu, kudhaniwa kuwa ndiye anayetoka naye.
Msikilize hapa vanesa akipigwa swali lakizushi ndani ya studio za
cocacola.
Hii ndiyo siku Vanessa alipofunguka, kuhusu mahusiano yake yakimapenzi.
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:49:00
Rating: