Taarifa Kamili juu Taarifa Za Kifo Cha Dr. Wilbroad Slaa Wa Chadema..!!
Kumeibuka baadhi ya
messeji zikisema kuwa D. Wilbroad Slaa amefariki kwenye ajali ya gari
iliyotokea leo asubuh, messeji hizo zimezagaa sana katika mitandao ya
kijamii na mpaka tunaandika taarifa hii na sisi tumepokea ujumbe huo
ujumbe huo unasema
"Roho ya marehemu Dr Slaa ipumzike kwa amani. Bwana ametoa Bwana ametwaa... Breaking news; Dr Slaa hatunaye tena. Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la taifa (TBC) Dr Slaa amefariki majira ya saa 3.25 asubuhi hii katika ajali mbaya ya gari iliyohusisha gari ndogo haina ya rav 4 na basi la abiria ambapo Dr Slaa na dereva wake walifariki hapohapo. Dr Slaa ameacha mke na watoto watano. Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi. Amina"
taarifa kamili ni kuwa Dr. Slaa Ni mzima tena wa afya tena, tunachowaomba ni kupuuzia taarifa hizo za uongo
"Roho ya marehemu Dr Slaa ipumzike kwa amani. Bwana ametoa Bwana ametwaa... Breaking news; Dr Slaa hatunaye tena. Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la taifa (TBC) Dr Slaa amefariki majira ya saa 3.25 asubuhi hii katika ajali mbaya ya gari iliyohusisha gari ndogo haina ya rav 4 na basi la abiria ambapo Dr Slaa na dereva wake walifariki hapohapo. Dr Slaa ameacha mke na watoto watano. Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi. Amina"
taarifa kamili ni kuwa Dr. Slaa Ni mzima tena wa afya tena, tunachowaomba ni kupuuzia taarifa hizo za uongo
Taarifa Kamili juu Taarifa Za Kifo Cha Dr. Wilbroad Slaa Wa Chadema..!!
Reviewed by Unknown
on
04:45:00
Rating:
![Taarifa Kamili juu Taarifa Za Kifo Cha Dr. Wilbroad Slaa Wa Chadema..!!](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixCSQ2o8Xm95UMkC7ytCDQPH7vNI5TmJNv0jnc20krRaIKhUQSNzaajZcAU8XknQQECdFkHdZFXMY1o_z_vnl1ufrA11Hre6rEALifuGQp1rW5KmSS00R_lKsbbL_W9e_6NwOFOlX9JD8/s72-c/slaa-cropped.jpg)