EBWANA HII INAWEZA KUWA KALI: HEBU CHEKI VIDEO HII UONE JINSI SHETTA ALIVYOMWAGIWA UJI WA MOTO HAPA BILA KING'AMUZI!!
marafiki wa karibu na msanii Shetta, walichukua nafasi ya kitofautu kabisa katika kum-wish happy birthday pale walipokutana nae katika chuo cha muziki THT.
Baada ya waalikwa kuftur kwa pamoja ndani ya THT na Lina kutambulisha audio pamoja na
video ya wimbo wake mpya "Ole Themba" , watu waliokuwa wamekusanyika nje huku kila mmoja akijiandaa kuondoka, baada ya kumuona Shetta na kukumbuka kuwa ni siku yake ya kuzaliwa, kichofata ni kumwagiwa maji bila mwenyewe kujua, lakini haikuishia hapo, msanii Queen Darlin ndio alifunga kazi kwa kuchukua nafasi ile na kummwagia uji uliokuwa umebaki baada ya ftari...tazama video hapo chini..Happy birthday Shetta
EBWANA HII INAWEZA KUWA KALI: HEBU CHEKI VIDEO HII UONE JINSI SHETTA ALIVYOMWAGIWA UJI WA MOTO HAPA BILA KING'AMUZI!!
Reviewed by Unknown
on
04:44:00
Rating:
![EBWANA HII INAWEZA KUWA KALI: HEBU CHEKI VIDEO HII UONE JINSI SHETTA ALIVYOMWAGIWA UJI WA MOTO HAPA BILA KING'AMUZI!!](http://1.bp.blogspot.com/-YfXPhe-S4hg/U8cdwvT8gdI/AAAAAAAAuU0/gkra5idr47s/s72-c/shetta+-+dj-+fetty-+blog.jpg)