Picha: Lulu, Mama Kanumba wafuturu na watoto yatima

Msanii wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Alhamis ya wiki hii, alienda kufuturu pamoja na watoto yatima wa kituo cja Chakuwama kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Lulu alimbatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba na Dk Cheni. Hizi ni baadhi ya picha.
photo1
Lulu akiwa na Mama ambaye ndo mlezi wa kituo hicho
photo2(1)
photo2(3)
Watoto wakipata futari

photo3(1)
Lulu akiwa na mmoja watoto wa kituo hicho
photo3(3)
photo3(4)
Mama yake na Lulu akichukua chakula

photo3
Lulu akiwa pamoja na Mama Kanumba katika picha ya pamoja

photo4(1)
photo4(2)
photo5(2)
photo5(3)
Lulu akichukua chakula
photo5
Lulu akiwa na Mama yake mzazi na Mama Kanumba pamoja na mdogo wake
photo6(2)
Mama Lulu na Mama Kanumba wakipata chakula
photo6(3)
Baadhi ya watoto wakipita kuchukua chakula
photo6
Lulu na Mama Kanumba
photo7(1)
photo7(2)
photo7(3)
photo7(4)
photo7
Lulu akiwa na Mama yake
photo1(1)
photo1(3)
Picha kutoka kwa Bestizzo
Picha: Lulu, Mama Kanumba wafuturu na watoto yatima Picha: Lulu, Mama Kanumba wafuturu na watoto yatima Reviewed by Unknown on 04:32:00 Rating: 5
Powered by Blogger.