Ali Kiba Anasema Siti Yake Kwenye Bongo Fleva Haijakaliwa Na Mtu,Inavumbi Tu,Diamond Ajibu Hivi

Baada ya Ali Kiba Kunukuliwa akisema kwenye interview kuwa “Siti yake kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu ila inavumbi tu” Inasemekana hili ndio jibu la Daimond kuhusu Comment hiyo ya Ali Kiba.
dddd 2 
Baada ya maneno haya ya Diamond, Comment za mashabiki zimeonyesha kuwa hawafurahishwa na ugomvi unaoendelea kati yao ukizingatia wote ni wasanii wakubwa wanaofanya muziki wa Tanzania kujulikana Africa na dunia kwa ujumla.
Ali Kiba Anasema Siti Yake Kwenye Bongo Fleva Haijakaliwa Na Mtu,Inavumbi Tu,Diamond Ajibu Hivi Ali Kiba Anasema Siti Yake Kwenye Bongo Fleva Haijakaliwa Na Mtu,Inavumbi Tu,Diamond Ajibu Hivi Reviewed by Unknown on 00:11:00 Rating: 5
Powered by Blogger.