Kumbe Lowassa kutoa 'password' jinsi ya kuiba kura ndiyo kumesababisha UKAWA kushindwa!


 

Habari za asubuhi wakuu na wengine poleni na majanga.

Bila kuwachosha: imebainika kuwa kitendo cha Mheshimiwa EDWARD LOWASSA aliyekuwa mgombea URAIS kupitia CHADEMA kusema kuwa wanachama wa wa UKAWA walinde kura za ubunge na udiwani tu lakini za URAIS wamwachine yeye pekee, kauri hii iliwafanya CCM kutolala kwa kufanya utafiti wa kutosha pia kufuatilia mipango ya LOWASSA, CCM walifanikiwa kupenyeza watu wa usalama ndani ya INNER CORE ya vikao vya UKAWA huvyo wakabaini kila njia itakayotwa kuiba kura. moja ya mkakati ilikuwa ni kuingilia mfumo wa cumputer wa mawasiliano wa NEC.

Kosa la mheshimiwa LOWASSA ni kukosa kutunza siri ya jinsi watakavyo fanya, hapakuwa na sababu ya kuwambia wana UKAWA kuwa wamwachie ulinzi kura za URAIS wao walinde kura za ubunge na madiwani. Kauli hii iliwafanya CCM kuamka. angalia mwenzake MAALIM SEIF SHARIF HAMAD alifanya mipango kimya kimya CCM walishituka wakati wa mataokeo.

Pomposity ilimponza LOWASSA.
By Shikulaushinye

Kumbe Lowassa kutoa 'password' jinsi ya kuiba kura ndiyo kumesababisha UKAWA kushindwa! Kumbe Lowassa kutoa 'password' jinsi ya kuiba kura ndiyo kumesababisha UKAWA kushindwa! Reviewed by CapchaMuzic on 23:51:00 Rating: 5
Powered by Blogger.